إِنَّا مَكَّنَّا لَهُۥ فِى ٱلْأَرْضِ وَءَاتَيْنَٰهُ مِن كُلِّ شَىْءٍ سَبَبًا
Swahili Translation - Rowad Translation CenterHakika Sisi tulimuimarisha katika ardhi na tukampa katika njia za kila kitu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniSisi tulimtilia nguvu katika ardhi na tukampa njia za kila kitu.