caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Kahf, Aya 73

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 69 · 18:73

قَالَ لَا تُؤَاخِذْنِى بِمَا نَسِيتُ وَلَا تُرْهِقْنِى مِنْ أَمْرِى عُسْرًا

Swahili Translation - Rowad Translation Center(Musa) akasema: Usinichukulie makosa kwa niliyosahau, wala usinipe uzito kwa jambo langu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani(Musa) akasema: Usinichukulie kwa niliyo sahau, wala usinipe uzito kwa jambo langu.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70