قَالَ أَلَمْ أَقُلْ إِنَّكَ لَن تَسْتَطِيعَ مَعِىَ صَبْرًا
Swahili Translation - Rowad Translation CenterAkasema: Je, sikusema kwamba wewe hakika hutaweza kuvumilia kuwa pamoja nami?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniAkasema: Sikukwambia hutaweza kuvumilia kuwa pamoja nami?