وَقَالُوا۟ لَن نُّؤْمِنَ لَكَ حَتَّىٰ تَفْجُرَ لَنَا مِنَ ٱلْأَرْضِ يَنۢبُوعًا
Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa walisema, "Hatutakuamini mpaka ututimbulie chemichemi katika ardhi hii.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa walisema: Hatutakuamini mpaka ututimbulie chemchem katika ardhi hii.