caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Israa, Aya 91

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 50 · 17:91

أَوْ تَكُونَ لَكَ جَنَّةٌ مِّن نَّخِيلٍ وَعِنَبٍ فَتُفَجِّرَ ٱلْأَنْهَٰرَ خِلَٰلَهَا تَفْجِيرًا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterAu uwe na bustani ya mitende na mizabibu, na utupitishie mito kati yake ikimiminika.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniAu uwe na kitalu cha mitende na mizabibu, na utupitishie mito kati yake ikimiminika.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70