caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Israa, Aya 74

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 50 · 17:74

وَلَوْلَآ أَن ثَبَّتْنَٰكَ لَقَدْ كِدتَّ تَرْكَنُ إِلَيْهِمْ شَيْـًٔا قَلِيلًا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa lau kuwa hatukukuweka imara, ungelikaribia kuwaegemea kidogo.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa lau kuwa hatukukuweka imara ungeli karibia kuwaelekea kidogo.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70