caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Israa, Aya 38

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 50 · 17:38

كُلُّ ذَٰلِكَ كَانَ سَيِّئُهُۥ عِندَ رَبِّكَ مَكْرُوهًا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterHayo yote ubaya wake ni wenye kuchukiza kwa Mola wako Mlezi.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHaya yote ubaya wake ni wenye kuchukiza kwa Mola wako Mlezi.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70