caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Israa, Aya 11

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 50 · 17:11

وَيَدْعُ ٱلْإِنسَٰنُ بِٱلشَّرِّ دُعَآءَهُۥ بِٱلْخَيْرِ وَكَانَ ٱلْإِنسَٰنُ عَجُولًا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa mtu huomba maovu kama vile aombavyo heri, kwani mtu ni mwenye pupa mno.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa mwanaadamu huomba shari kama vile aombavyo kheri, kwani mwanaadamu ni mwenye pupa.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70