caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Israa, Aya 10

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 50 · 17:10

وَأَنَّ ٱلَّذِينَ لَا يُؤْمِنُونَ بِٱلْـَٔاخِرَةِ أَعْتَدْنَا لَهُمْ عَذَابًا أَلِيمًا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa ya kwamba wale wasioiamini Akhera, tumewaandalia adhabu chungu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa yakwamba wale wasio iamini Akhera tumewaandalia adhabu chungu.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70