caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura An-Nahl, Aya 99

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 70 · 16:99

إِنَّهُۥ لَيْسَ لَهُۥ سُلْطَٰنٌ عَلَى ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ وَعَلَىٰ رَبِّهِمْ يَتَوَكَّلُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterHakika yeye hana mamlaka juu ya wale walioamini na wakamtegemea Mola wao Mlezi.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHakika yeye hana madaraka juu ya walio amini na wakamtegemea Mola wao Mlezi.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70