caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura An-Nahl, Aya 98

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 70 · 16:98

فَإِذَا قَرَأْتَ ٱلْقُرْءَانَ فَٱسْتَعِذْ بِٱللَّهِ مِنَ ٱلشَّيْطَٰنِ ٱلرَّجِيمِ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa unaposoma Qur-ani, mwombe Mwenyezi Mungu akulinde kutokana na Shetani aliyelaaniwa.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa ukisoma Qur'ani mwombe Mwenyezi Mungu akulinde na Shetani maluuni.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70