إِنَّمَا سُلْطَٰنُهُۥ عَلَى ٱلَّذِينَ يَتَوَلَّوْنَهُۥ وَٱلَّذِينَ هُم بِهِۦ مُشْرِكُونَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterHakika mamlaka yake yako juu ya wale wanaomfanya kuwa rafiki yao msaidizi, na wale wanaofanya ushirika naye.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHakika madaraka yake ni juu ya wanao mfanya rafiki yao, na wale wanao fanya ushirika naye.