caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura An-Nahl, Aya 6

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 70 · 16:6

وَلَكُمْ فِيهَا جَمَالٌ حِينَ تُرِيحُونَ وَحِينَ تَسْرَحُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa katika hao mnapata furaha pale mnapowarudisha jioni na mnapowapeleka malishoni asubuhi.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa wanakupeni furaha pale mnapo warudisha jioni na mnapo wapeleka malishoni asubuhi.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70