أَوْ يَأْخُذَهُمْ فِى تَقَلُّبِهِمْ فَمَا هُم بِمُعْجِزِينَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterAu hatawashika katika harakati zao, na wala hawatamshinda?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniAu hatawashika katika nyendo zao, na wala hawataponyoka?