caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Hijr, Aya 78

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 54 · 15:78

وَإِن كَانَ أَصْحَٰبُ ٱلْأَيْكَةِ لَظَٰلِمِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa hakika watu wa Kichakani walikuwa madhalimu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa Hakika watu wa kichakani, walikuwa wenye kudhulumu
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70