caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Hijr, Aya 79

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 54 · 15:79

فَٱنتَقَمْنَا مِنْهُمْ وَإِنَّهُمَا لَبِإِمَامٍ مُّبِينٍ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterKwa hivyo tukawaadhibu. Na hakika miji miwili hii iko kwenye njia iliyo wazi.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniKwa hivyo tukawaadhibu. Na nchi mbili hizi ziko kwenye njia iliowazi.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70