caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Hijr, Aya 60

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 54 · 15:60

إِلَّا ٱمْرَأَتَهُۥ قَدَّرْنَآ إِنَّهَا لَمِنَ ٱلْغَٰبِرِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterIsipokuwa mkewe. Tumekwishapitisha kwamba huyo hakika atakuwa miongoni mwa watakaosalia nyuma.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniIla mkewe. Tunakadiria huyo atakuwa miongoni watao bakia nyuma.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70