caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Hijr, Aya 59

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 54 · 15:59

إِلَّآ ءَالَ لُوطٍ إِنَّا لَمُنَجُّوهُمْ أَجْمَعِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterIsipokuwa watu wa familia ya Lut'. Bila ya shaka sisi tutawaokoa hao wote.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniIsipo kuwa walio mfuata Luut'i. Bila ya shaka sisi tutawaokoa hao wote.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70