caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Hijr, Aya 53

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 54 · 15:53

قَالُوا۟ لَا تَوْجَلْ إِنَّا نُبَشِّرُكَ بِغُلَٰمٍ عَلِيمٍ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterWakasema: Usiogope. Hakika, Sisi tunakubashiria kijana mwenye elimu mno.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniWakasema: Usiogope. Sisi tunakubashiria kijana mwenye ujuzi.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70