caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Hijr, Aya 52

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 54 · 15:52

إِذْ دَخَلُوا۟ عَلَيْهِ فَقَالُوا۟ سَلَٰمًا قَالَ إِنَّا مِنكُمْ وَجِلُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterWalipoingia kwake na wakasema: Salama! Yeye akasema: Hakika sisi tunawaogopa.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniWalipo ingia kwake na wakasema: Salama! Yeye akasema: Hakika sisi tunakuogopeni.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70