caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Hijr, Aya 6

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 54 · 15:6

وَقَالُوا۟ يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِى نُزِّلَ عَلَيْهِ ٱلذِّكْرُ إِنَّكَ لَمَجْنُونٌ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa walisema, "Ewe uliyeteremshiwa Ukumbusho! Hakika wewe ni mwendawazimu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa walisema: Ewe uliyeteremshiwa Ukumbusho! Hakika wewe ni mwendawazimu.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70