caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Hijr, Aya 27

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 54 · 15:27

وَٱلْجَآنَّ خَلَقْنَٰهُ مِن قَبْلُ مِن نَّارِ ٱلسَّمُومِ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNaye Jini tulimuumba hapo kabla kutokana na moto wa upepo umoto.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa majini tuliwaumba kabla kwa moto wa upepo umoto.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70