caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Hijr, Aya 26

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 54 · 15:26

وَلَقَدْ خَلَقْنَا ٱلْإِنسَٰنَ مِن صَلْصَٰلٍ مِّنْ حَمَإٍ مَّسْنُونٍ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa hakika tulimuumba Mtu kwa udongo unaotoa sauti, unaotokana na matope yaliyotiwa sura.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa tulimuumba mtu kwa udongo unao toa sauti, unao tokana na matope yaliyo tiwa sura.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70