caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Hijr, Aya 14

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 54 · 15:14

وَلَوْ فَتَحْنَا عَلَيْهِم بَابًا مِّنَ ٱلسَّمَآءِ فَظَلُّوا۟ فِيهِ يَعْرُجُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa lau tungeliwafungulia mlango huko mbinguni, wakawa wanapanda kupitia humo,
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa lau tungeli wafungulia mlango wa mbingu, wakawa wanapanda,
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70