caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Hijr, Aya 15

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 54 · 15:15

لَقَالُوٓا۟ إِنَّمَا سُكِّرَتْ أَبْصَٰرُنَا بَلْ نَحْنُ قَوْمٌ مَّسْحُورُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterBasi wangelisema: Hakika macho yetu yameleweshwa tu. Bali sisi wenyewe ni kaumu tuliofanyiwa uchawi.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniBasi wangeli sema: Macho yetu yamelevywa, bali sisi wenyewe tumerogwa.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70