كَذَٰلِكَ نَسْلُكُهُۥ فِى قُلُوبِ ٱلْمُجْرِمِينَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa kama hivi ndivyo tunavyoyaingiza katika nyoyo za wahalifu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa kama hivi ndivyo tunavyo ingiza katika nyoyo za wakosefu.