caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Hijr, Aya 11

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 54 · 15:11

وَمَا يَأْتِيهِم مِّن رَّسُولٍ إِلَّا كَانُوا۟ بِهِۦ يَسْتَهْزِءُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa hakuwajia Mtume yeyote isipokuwa walikuwa wakimfanyia stihizai.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa hakuwafikia Mtume ila walimkejeli.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70