caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Ar-Ra'd, Aya 20

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 96 · 13:20

ٱلَّذِينَ يُوفُونَ بِعَهْدِ ٱللَّهِ وَلَا يَنقُضُونَ ٱلْمِيثَٰقَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterWale ambao wanatimiza mapatano yao na Mwenyezi Mungu, wala hawavunji agano.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniWale ambao wanatimiza ahadi ya Mwenyezi Mungu, wala hawavunji maagano.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70