caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Yusuf, Aya 95

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 53 · 12:95

قَالُوا۟ تَٱللَّهِ إِنَّكَ لَفِى ضَلَٰلِكَ ٱلْقَدِيمِ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterWakasema: Tallahi! Hakika wewe bado ungali katika upotovu wako wa zamani.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniWakasema: Wallahi! Hakika bado ungali katika upotovu wako wa zamani.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70