caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Yunus, Aya 97

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 51 · 10:97

وَلَوْ جَآءَتْهُمْ كُلُّ ءَايَةٍ حَتَّىٰ يَرَوُا۟ ٱلْعَذَابَ ٱلْأَلِيمَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterHata kama itawajia kila Ishara, mpaka waione adhabu chungu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniIjapo kuwa itawajia kila Ishara, mpaka waione adhabu iliyo chungu.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70