إِنَّ ٱلَّذِينَ حَقَّتْ عَلَيْهِمْ كَلِمَتُ رَبِّكَ لَا يُؤْمِنُونَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterHakika wale ambao neno la Mola wako Mlezi limekwishathibitika juu yao, hawataamini.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHakika wale ambao neno la Mola wako Mlezi limekwisha thibitika juu yao, hawataamini,