caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Yunus, Aya 43

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 51 · 10:43

وَمِنْهُم مَّن يَنظُرُ إِلَيْكَ أَفَأَنتَ تَهْدِى ٱلْعُمْىَ وَلَوْ كَانُوا۟ لَا يُبْصِرُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa miongoni mwao kuna yule anayekutazama. Je, wewe unaweza kuwaongoa vipofu hata kama hawaoni?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa wapo miongoni mwao wanao kutazama. Je, wewe utawaongoa vipofu ingawa hawaoni?
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70