caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Yunus, Aya 1

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 51 · 10:1

بِسْمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحْمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ الٓر تِلْكَ ءَايَٰتُ ٱلْكِتَٰبِ ٱلْحَكِيمِ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterAlif Laam Raa.[1] Hizo ni Aya za Kitabu chenye hekima.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniAlif Lam Ra. Hizo ni Aya za Kitabu chenye Hikima.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70