caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Ash-Shams, Aya 11

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 26 · 91:11

كَذَّبَتْ ثَمُودُ بِطَغْوَىٰهَآ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterKina Thamudi walikadhibisha kwa sababu ya upotovu wao.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniKina Thamudi walikadhibisha kwa sababu ya upotofu wao,
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70