caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura At-Tawba, Aya 124

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 113 · 9:124

وَإِذَا مَآ أُنزِلَتْ سُورَةٌ فَمِنْهُم مَّن يَقُولُ أَيُّكُمْ زَادَتْهُ هَٰذِهِۦٓ إِيمَٰنًا فَأَمَّا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ فَزَادَتْهُمْ إِيمَٰنًا وَهُمْ يَسْتَبْشِرُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa inapokwishateremshwa sura, basi wapo miongoni mwao wasemao: "Ni nani miongoni mwenu sura hii imemzidishia Imani?" Ama wale walioamini, iliwazidishia Imani, nao wanafurahi.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa inapo teremshwa Sura wapo miongoni mwao wasemao: Ni nani miongoni mwenu Sura hii imemzidishia Imani? Ama wale walio amini inawazidishia Imani, nao wanafurahi.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70