caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Fajr, Aya 16

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 10 · 89:16

وَأَمَّآ إِذَا مَا ٱبْتَلَىٰهُ فَقَدَرَ عَلَيْهِ رِزْقَهُۥ فَيَقُولُ رَبِّىٓ أَهَٰنَنِ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa ama anapomjaribu akampunguzia riziki yake, husema: Mola wangu Mlezi amenitia unyonge!
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa ama anapo mjaribu akampunguzia riziki yake, husema: Mola wangu Mlezi amenitia unyonge!
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70