كَلَّآ إِنَّ كِتَٰبَ ٱلْفُجَّارِ لَفِى سِجِّينٍ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterHasha! Hakika maandiko ya wakosefu bila ya shaka yamo katika Sijjin.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHasha! Hakika maandiko ya wakosefu bila ya shaka yamo katika Sijjin.