caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Mutaffifin, Aya 36

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 86 · 83:36

هَلْ ثُوِّبَ ٱلْكُفَّارُ مَا كَانُوا۟ يَفْعَلُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterJe, makafiri wamelipwa malipo ya yale waliyokuwa wakiyatenda?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniJe! makafiri wamelipwa malipo ya yale waliyo kuwa wakiyatenda?
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70