caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Mutaffifin, Aya 32

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 86 · 83:32

وَإِذَا رَأَوْهُمْ قَالُوٓا۟ إِنَّ هَٰٓؤُلَآءِ لَضَآلُّونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa wanapowaona husema: Hakika hawa ndio hasa waliopotea.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa wanapo waona husema: Hakika hawa ndio khasa walio potea.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70