caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Mutaffifin, Aya 29

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 86 · 83:29

إِنَّ ٱلَّذِينَ أَجْرَمُوا۟ كَانُوا۟ مِنَ ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ يَضْحَكُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterKwa hakika wale waliokuwa wahalifu walikuwa wakiwacheka walioamini.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniKwa hakika wale walio kuwa wakosefu walikuwa wakiwacheka walio amini.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70