caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura At-Takwir, Aya 23

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 7 · 81:23

وَلَقَدْ رَءَاهُ بِٱلْأُفُقِ ٱلْمُبِينِ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa hakika yeye alimwona kwenye upeo wa macho ulio safi.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa hakika yeye alimwona kwenye upeo wa macho ulio safi.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70