caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Anfaal, Aya 57

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 88 · 8:57

فَإِمَّا تَثْقَفَنَّهُمْ فِى ٱلْحَرْبِ فَشَرِّدْ بِهِم مَّنْ خَلْفَهُمْ لَعَلَّهُمْ يَذَّكَّرُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterKwa hivyo, ukiwakuta katika vita, basi wakimbize kwa hawa wale walio nyuma yao ili wapate kukumbuka.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniBasi ukiwakuta vitani wakimbize walio nyuma yao ili wapate kukumbuka.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70