caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Anfaal, Aya 18

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 88 · 8:18

ذَٰلِكُمْ وَأَنَّ ٱللَّهَ مُوهِنُ كَيْدِ ٱلْكَٰفِرِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterHayo! Na kwamba hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kudhoofisha njama za makafiri.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNdio hivyo! Na hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kudhoofisha vitimbi vya makafiri.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70