caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura An-Naazi'aat, Aya 27

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 81 · 79:27

ءَأَنتُمْ أَشَدُّ خَلْقًا أَمِ ٱلسَّمَآءُ بَنَىٰهَا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterJe, ni vigumu zaidi kukuumbeni nyinyi au mbingu? Yeye ndiye aliyeijenga!
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniJe! Ni vigumu zaidi kukuumbeni nyinyi au mbingu? Yeye ndiye aliye ijenga!
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70