caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura An-Naazi'aat, Aya 19

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 81 · 79:19

وَأَهْدِيَكَ إِلَىٰ رَبِّكَ فَتَخْشَىٰ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNami nitakuongoza ufike kwa Mola wako Mlezi, upate kumcha.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNami nitakuongoa ufike kwa Mola wako Mlezi, upate kumcha.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70