caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Mursalaat, Aya 44

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 33 · 77:44

إِنَّا كَذَٰلِكَ نَجْزِى ٱلْمُحْسِنِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterHakika ndio kama hivyo tunavyowalipa watendao mema.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHakika ndio kama hivyo tunavyo walipa watendao mema.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70