caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Mursalaat, Aya 39

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 33 · 77:39

فَإِن كَانَ لَكُمْ كَيْدٌ فَكِيدُونِ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterIkiwa mnayo hila, nifanyieni hila Mimi!
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwanikiwa mnayo hila, nifanyieni hila Mimi!
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70