caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Insaan, Aya 22

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 98 · 76:22

إِنَّ هَٰذَا كَانَ لَكُمْ جَزَآءً وَكَانَ سَعْيُكُم مَّشْكُورًا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterHakika haya ni malipo yenu; na juhudi zenu zimekubaliwa.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHakika haya ni malipo yenu; na juhudi zenu zimekubaliwa.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70