caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Insaan, Aya 17

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 98 · 76:17

وَيُسْقَوْنَ فِيهَا كَأْسًا كَانَ مِزَاجُهَا زَنجَبِيلًا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa humo watanyweshwa kinywaji kilichochanganyika na tangawizi.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa humo watanyweshwa kinywaji kilicho changanyika na tangawizi.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70