caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Insaan, Aya 18

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 98 · 76:18

عَيْنًا فِيهَا تُسَمَّىٰ سَلْسَبِيلًا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterHiyo ni chemchemi iliyo humo inaitwa Salsabil.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHiyo ni chemchem iliyo humo inaitwa Salsabil.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70